Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 3:6

Matendo 3:6 SRUV

Lakini Petro akasema, Mimi sina fedha, wala dhahabu, lakini nilicho nacho ndicho nikupacho. Kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareti, simama uende.

Soma Matendo 3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Matendo 3:6