Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 8:29-31

Matendo 8:29-31 SRUV

Roho akamwambia Filipo, Sogea karibu na gari hili, ukaribiane nalo. Basi Filipo akaenda mbio, akamsikia anasoma kitabu cha nabii Isaya; akanena, Je! Yamekuelea haya unayosoma? Akasema, Nitawezaje kuelewa, mtu asiponiongoza? Akamsihi Filipo apande na kuketi pamoja naye.

Soma Matendo 8

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Matendo 8:29-31