Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ezekieli 2:2-3

Ezekieli 2:2-3 SRUV

Naye aliposema nami, roho ikaniingia, ikanisimamisha; nikamsikia yeye aliyesema nami. Akaniambia, Mwanadamu, nakutuma kwa wana wa Israeli, kwa mataifa wanaoasi, walioniasi mimi; wao na baba zao wameasi juu yangu, naam, hata hivi leo.

Soma Ezekieli 2