Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 42:1-4

Isaya 42:1-4 SRUV

Tazama mtumishi wangu nimtegemezaye; mteule wangu, ambaye nafsi yangu imependezwa naye; nimetia roho yangu juu yake; naye atawatolea mataifa hukumu. Hatalia, wala hatapaza sauti yake, wala kuifanya isikiwe katika njia kuu. Mwanzi uliopondeka hatauvunja, wala utambi utokao moshi hatauzima; atatoa hukumu kwa uaminifu. Hatazimia, wala hatakata tamaa, hata atakapoweka hukumu duniani; na visiwa vitaingojea sheria yake.

Soma Isaya 42

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Isaya 42:1-4