Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 42:3-4

Isaya 42:3-4 SRUV

Mwanzi uliopondeka hatauvunja, wala utambi utokao moshi hatauzima; atatoa hukumu kwa uaminifu. Hatazimia, wala hatakata tamaa, hata atakapoweka hukumu duniani; na visiwa vitaingojea sheria yake.

Soma Isaya 42

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Isaya 42:3-4