Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mambo ya Walawi 26:1

Mambo ya Walawi 26:1 SRUV

Msifanye sanamu yoyote, wala msijisimamishie sanamu ya kuchonga, wala mnara, wala msiweke jiwe lolote lililochorwa katika nchi yenu ili kulisujudia; kwa kuwa mimi ndimi BWANA, Mungu wenu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mambo ya Walawi 26:1