Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Marko 13:35-37

Marko 13:35-37 SRUV

Kesheni basi, kwa maana hamjui ajapo bwana wa nyumba, kwamba ni jioni, au kwamba ni usiku wa manane, au awikapo jogoo, au asubuhi; asije akawasili ghafla akawakuta mmelala. Na hilo niwaambialo ninyi, nawaambia wote, Kesheni.

Soma Marko 13

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Marko 13:35-37