Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 25:21-22

Mithali 25:21-22 SRUV

Adui yako akiwa ana njaa, mpe chakula; Tena akiwa ana kiu, mpe maji ya kunywa; Maana utatia makaa ya moto kichwani pake; Na BWANA atakupa thawabu.

Soma Mithali 25

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mithali 25:21-22