Zaburi 121
121
Hakikisho la ulinzi wa Mungu
Wimbo wa Upandaji mlima.
1Nayainua macho yangu niitazame milima,
Msaada wangu utatoka wapi?
2Msaada wangu hutoka kwa BWANA,
Aliyezifanya mbingu na nchi.
3 #
1 Sam 2:9; Isa 27:3 Hatauacha mguu wako usogezwe;
Akulindaye hatasinzia;
4Naam, hatasinzia wala hatalala,
Yeye aliye mlinzi wa Israeli.
5BWANA ndiye mlinzi wako;
BWANA ni uvuli katika mkono wako wa kulia.
6 #
Isa 49:10
Jua halitakupiga mchana,
Wala mwezi wakati wa usiku.
7 #
Ayu 5:19; Zab 91:9,10; Mit 12:21 BWANA atakulinda na mabaya yote,
Atakulinda nafsi yako.
8 #
Kum 28:6; Mit 2:8 BWANA atakulinda utokapo na uingiapo,
Tangu sasa na hata milele.
Iliyochaguliwa sasa
Zaburi 121: SRUV
Kuonyesha
Shirikisha
Nakili
Je, ungependa vivutio vyako vihifadhiwe kwenye vifaa vyako vyote? Jisajili au ingia
Swahili Revised Union Version Bible © Bible Society of Kenya, and Bible Society of Tanzania, 2005.

: