Zaburi 125
125
Usalama wa watu wa Mungu
Wimbo wa kupanda mlima.
1Wamtumainio BWANA ni kama mlima Sayuni,
Ambao hautikisiki, wakaa milele.
2Kama milima inavyouzunguka Yerusalemu,
Ndivyo BWANA anavyowazunguka watu wake,
Tangu sasa na hata milele.
3Kwa maana fimbo ya udhalimu
Haitakaa juu ya nchi ya wenye haki;
Ili wenye haki wasije wakainyosha
Mikono yao kwenye upotovu.
4Ee BWANA, uwatendee mema walio wema,
Nao walio wanyofu wa moyo.
5 #
Mit 2:15; Isa 59:8; Flp 2:15; Gal 6:16 Bali wao wanaozigeukia njia zao zilizopotoka,
BWANA atawaondoa pamoja na watenda maovu.
Amani ikae na Israeli.
Iliyochaguliwa sasa
Zaburi 125: SRUV
Kuonyesha
Shirikisha
Nakili
Je, ungependa vivutio vyako vihifadhiwe kwenye vifaa vyako vyote? Jisajili au ingia
Swahili Revised Union Version Bible © Bible Society of Kenya, and Bible Society of Tanzania, 2005.

: