Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 12:17

Ufunuo 12:17 SRUV

Joka likamkasirikia yule mwanamke, likaenda zake lifanye vita juu ya wazawa wake waliobakia, wanaozishika amri za Mungu, na kuwa na ushuhuda wa Yesu; nalo likasimama juu ya mchanga wa bahari.

Soma Ufunuo 12

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 12:17