Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 13:14-15

Ufunuo 13:14-15 SRUV

Naye awakosesha wale wakaao juu ya nchi, kwa ishara zile alizopewa kuzifanya mbele ya huyo mnyama, akiwaambia wakaao juu ya nchi kumfanyia sanamu yule mnyama, aliyekuwa na jeraha la upanga naye akaishi. Akapewa kutia pumzi katika ile sanamu ya mnyama, ili ile sanamu ya mnyama iongee, na kuwafanya hao wote wasioisujudu sanamu ya mnyama wauawe.

Soma Ufunuo 13

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 13:14-15