Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 5:13

Ufunuo 5:13 SRUV

Na kila kiumbe kilichoko mbinguni na juu ya nchi na chini ya nchi na juu ya bahari, na vitu vyote vilivyomo ndani yake, nilivisikia, vikisema, Baraka na heshima na utukufu na uweza una yeye aketiye juu ya kiti cha enzi, na kwake Mwana-kondoo, hata milele na milele.

Soma Ufunuo 5

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 5:13