Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Warumi 15:5-6

Warumi 15:5-6 SRUV

Na Mungu mwenye saburi na faraja awajalie kunuia mamoja ninyi kwa ninyi, kwa kufuata mfano wa Kristo Yesu; ili kwa moyo mmoja na kwa kinywa kimoja mpate kumtukuza Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo.

Soma Warumi 15

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Warumi 15:5-6