Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Tito 2:13-14

Tito 2:13-14 SRUV

tukilitazamia tumaini lenye baraka na kufunuliwa kwa utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu; ambaye alijitoa nafsi yake kwa ajili yetu, ili atukomboe na maasi yote, na kujisafishia watu wake mwenyewe walio na bidii katika matendo mema.

Soma Tito 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Tito 2:13-14