Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohane 6:19-20

Yohane 6:19-20 BHNTLK

Wanafunzi walipokuwa wamekwenda umbali wa kilomita tano au sita, walimwona Yesu akitembea juu ya maji, anakaribia mashua; wakaogopa sana. Yesu akawaambia, “Ni mimi, msiogope!”