Yohana 6:35
Yohana 6:35 TKU
Kisha Yesu akasema, “Mimi ndiye mkate unaoleta uzima. Hakuna anayekuja kwangu atakayehisi njaa. Hakuna anayeniamini atakayepata kiu kamwe.