Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Luka 13:18-19

Luka 13:18-19 NENO

Kisha Isa akauliza, “Ufalme wa Mungu unafanana na nini? Nitaufananisha na nini? Umefanana na punje ya haradali ambayo mtu aliichukua na kuipanda katika shamba lake. Nayo ikakua, ikawa mti, nao ndege wa angani wakatengeneza viota vyao kwenye matawi yake.”