Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 17:12-13

Mwanzo 17:12-13 SCLDC10

Kila mtoto wa kiume wa siku nane miongoni mwenu ni lazima atahiriwe. Kila mwanamume katika vizazi vyenu, awe mtumwa aliyezaliwa nyumbani mwenu au aliyenunuliwa kwa fedha zenu kutoka kwa mgeni asiye mzawa wako; naam, kila mmoja wao aliyezaliwa katika nyumba yako na hata aliyenunuliwa kwa fedha zako ni lazima atahiriwe. Hiyo ni alama ya agano langu katika miili yenu, agano la milele.

Soma Mwanzo 17

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 17:12-13