Matendo 5:38-39
Matendo 5:38-39 SWZZB1921
Bassi sasa nawaambieni, Jiepusheni na watu hawa, waacheni: kwa kuwa shauri hili au kazi hii ikiwa ya kibinadamu, itavunjwa, illakini ikiwa ya Mungu hamwezi kuivunja; msije mkaonekana kuwa mnapigana na Mungu.