Yohana MT. 17:22-23
Yohana MT. 17:22-23 SWZZB1921
Nami, utukufu ule ulionipa nimewajia wao, wawe umoja, kama sisi tulivyo umoja: mimi ndani yao, na wewe ndani yangu, wapate kukamilika na kuwa umoja; illi ulimwengu ujue ya kuwa udiwe uliyenituma, ukawapenda wao kama ulivyonipenda mimi.