Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Luka MT. 4:9-12

Luka MT. 4:9-12 SWZZB1921

Akamwongoza hatta Yerusalemi, akamweka juu ya ukumbi wa hekalu, akamwambia, Ukiwa ndiwe Mwana wa Mungu, jitupe chini, toka huku: maana imeandikwa, Atakuagizia malaika zake wakulinde, na, Mikononi mwao watakuchukua, Usije ukajikwaa mguu wako kalika jiwe. Yesu akajibu akamwambia, Imenenwa, Usimjaribu Bwana Mungu wako.

Soma Luka MT. 4