Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mattayo MT. 28:19-20

Mattayo MT. 28:19-20 SWZZB1921

Bassi, enendeni, kawafanyeni mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu; mkiwafundisha kushika yote niliyowaamuru ninyi: nti tazama, mimi nipo pamoja nanyi sikuzote, hatta mwisho wa dunia. Amin.