Marko MT. 10:6-8
Marko MT. 10:6-8 SWZZB1921
Lakini tangu mwanzo wa kuumbwa ulimwengu, Mungu aliwafanya mtu mume na mtu mke. Kwa sababu hiyo mtu atamwacha baba yake na mama yake, ataambatana na mkewe: na hawo wawili watakuwa mwili mmoja; hatta wamekuwa si wawili tena, bali mwili mmoja.