Marko MT. 5:35-36
Marko MT. 5:35-36 SWZZB1921
Hatta alipokuwa akisema wakaja watu kutoka kwa mkuu wa sunagogi, wakinena, Binti yako amekwisha kufa: ya nini kuzidi kumsumbua mwalimu? Yesu, marra alipolisikia lile neno likinenwa, akamwambia mkuu wa sunagogi, Usiogope, amini tu.