2 Mose 12:26-27
2 Mose 12:26-27 SRB37
Tena hapo, wana wenu watakapowauliza: Huu utumishi wenu maana yake nini? na mwaambie: Hii ndio ng'ombe ya tambiko ya Pasaka ya Bwana, kwa kuwa alizipita nyumba za wana wa Isiraeli huko Misri, akaziponya nyumba zetu alipowapiga Wamisri. Ndipo, watu walipoinama na kumwangukia Mungu.