2 Mose 19:5-6
2 Mose 19:5-6 SRB37
Sasa mtakapoisikia sauti yangu na kuliangalia Agano langu, mtakuwa watu wangu mwenyewe kuliko makabila yote ya watu, kwani ulimwengu wote ni wangu. Ninyi mtakuwa ufalme wangu wenye watambikaji na taifa takatifu. Haya ndiyo maneno, utakayowaambia wana wa Isiraeli.