Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Mose 20:4-5

2 Mose 20:4-5 SRB37

Usijifanyie kinyago wala mfano wo wote wa vitu vilivyoko mbinguni juu, wala vilivyoko nchini chini, wala vilivyomo majini chini ya nchi! Usivitambikie, wala usivitumikie! Kwani mimi Bwana Mungu wako ni Mungu mwenye wivu; manza za baba nitazipatilizia wana, nikifikishe kizazi cha tatu na cha nne, kwao wanichukiao.

Soma 2 Mose 20