1 Mose 49:24-25
1 Mose 49:24-25 SRB37
na kumchukia, upindi wake hushupaa vivyo hivyo, nazo nguvu za mikono yake ziko tayari vivyo hivyo, yumo mikoni mwake amtawalaye Yakobo, hushikwa na mchungaji aliye mwamba wa Isiraeli. Mungu wa baba yako ndiye atakayekusaidia Mwenyezi Mungu ndiye atakayekubariki kwa mbaraka zitokazo mbinguni juu na kwa mbaraka zitokazo vilindini ndani ya nchi na kwa mbaraka zitokazo maziwani na tumboni.