Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Luka 24:31-32

Luka 24:31-32 SRB37

Ndipo, macho yao yalipofumbuliwa, wakamtambua. Naye papo hapo alikuwa ametoweka machoni pao. Kisha wakaambiana: Mioyo yetu humu ndani haikuwa ikiwaka moto, aliposema nasi njiani na kutueleza maana ya Maandiko?

Soma Luka 24