Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 15:8-9

Matendo 15:8-9 NMM

Mungu, yeye ajuaye mioyo, alionyesha kwamba anawakubali kwa kuwapa Roho wa Mwenyezi Mungu kama vile alivyotupa sisi. Mungu hakutofautisha kati yetu na wao, bali alitakasa mioyo yao kwa imani.