Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 24:3-4

Mwanzo 24:3-4 NMM

Ninataka uape kwa BWANA, Mungu wa mbingu na Mungu wa nchi, kwamba hutamtwalia mwanangu mke kutoka binti za Wakanaani, ambao ninaishi miongoni mwao, bali utakwenda katika nchi yangu na jamaa zangu umpatie Isaka mwanangu mke.”