Luka 13:11-12
Luka 13:11-12 NMM
Wakati huo huo akaja mwanamke mmoja aliyekuwa na pepo mchafu, naye alikuwa amepinda mgongo kwa muda wa miaka kumi na minane, wala alikuwa hawezi kunyooka wima. Isa alipomwona, akamwita, akamwambia, “Mwanamke, uwe huru, umepona ugonjwa wako.”