Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wakorintho 13:2

1 Wakorintho 13:2 BHN

Tena, naweza kuwa na kipaji cha kutangaza ujumbe wa Mungu, nikafahamu siri zote na kujua kila kitu; naweza kuwa na imani yote hata nikaweza kuihamisha milima, lakini kama sina upendo mimi si kitu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wakorintho 13:2