Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Timotheo 3:12-13

1 Timotheo 3:12-13 BHN

Msaidizi katika kanisa lazima awe na mke moja tu, na awezaye kuongoza vema watoto wake na nyumba yake. Maana wasaidizi wanaofanya kazi yao vizuri hujipatia msimamo mzuri, na wanaweza kusema bila hofu juu ya imani yao katika Kristo Yesu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Timotheo 3:12-13