Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 1:3

Matendo 1:3 BHN

Kwa muda wa siku arubaini baada ya kifo chake aliwatokea mara nyingi kwa namna ambazo zilithibitisha kabisa kwamba alikuwa hai. Walimwona, naye aliongea nao juu ya ufalme wa Mungu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Matendo 1:3