Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 5:38-39

Matendo 5:38-39 BHN

Na sasa pia mimi nawaambieni, msiwachukulie watu hawa hatua yoyote; waacheni! Kwa maana, ikiwa mpango huu au shughuli yao hii imeanzishwa na binadamu, itatoweka yenyewe. Lakini kama imeanzishwa na Mungu, siyo tu kwamba hamtaweza kuwashinda, bali mtajikuta mnampinga Mungu.” Basi, wakakubaliana naye.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Matendo 5:38-39