Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu la Sheria 15:10

Kumbukumbu la Sheria 15:10 BHN

Mpeni ndugu maskini kwa ukarimu bila kunungunika; maana kwa ajili ya hayo, Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu atawabariki katika kazi zenu zote na katika kila mfanyalo.