Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 12:12-13

Kutoka 12:12-13 BHN

“Usiku huo, nitapita katika nchi ya Misri na kuwaua wazaliwa wa kwanza wa Misri, watu kwa wanyama. Nitaiadhibu miungu yote ya Misri. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu. Basi, ile damu itakuwa ishara yenu ya kuonesha nyumba mtakamokuwa. Nami nitakapoiona hiyo damu, nitawapita nyinyi, na hamtapatwa na dhara lolote wakati nitakapoipiga nchi ya Misri.

Soma Kutoka 12

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 12:12-13