Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 15:26

Kutoka 15:26 BHN

akawaambia, “Ikiwa mtaisikiliza kwa makini sauti yangu mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, na kutenda yaliyo sawa mbele yangu, na kuheshimu amri na maagizo yangu yote, basi, mimi sitawaletea yale magonjwa niliyowaletea Wamisri. Kwa sababu, mimi ndimi Mwenyezi-Mungu ninayewaponya nyinyi.”

Soma Kutoka 15

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 15:26