Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 2:5

Kutoka 2:5 BHN

Basi, binti Farao akashuka mtoni kuoga, na watumishi wake wakawa wanatembeatembea kandokando ya mto. Binti Farao akakiona kile kikapu katika majani, akamtuma mjakazi wake akichukue.

Soma Kutoka 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 2:5