Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 32:30

Kutoka 32:30 BHN

Kesho yake Mose akawaambia watu, “Mmetenda dhambi kubwa! Sasa nitamwendea Mwenyezi-Mungu juu mlimani; labda nitafanya upatanisho kwa ajili ya dhambi yenu.”

Soma Kutoka 32

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 32:30