Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ezekieli 9:3-4

Ezekieli 9:3-4 BHN

Kisha utukufu wa Mungu wa Israeli uliondoka pale juu ya kiumbe chenye mabawa na kupanda juu mpaka kizingiti cha nyumba ya Mwenyezi-Mungu. Mwenyezi-Mungu akamwita mtu yule aliyekuwa amevaa mavazi ya kitani, mwenye kidau cha wino, akamwambia, “Pita katikati ya mji wa Yerusalemu, ukatie alama kwenye vipaji vya nyuso za watu wanaohuzunika na kulia kwa sababu ya machukizo yote yanayotendeka katika mji huu.”

Soma Ezekieli 9

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ezekieli 9:3-4