Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Hosea 1:7

Hosea 1:7 BHN

Lakini nitawahurumia watu wa Yuda na kuwaokoa. Mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wao, nitawaokoa, lakini si kwa nguvu za kijeshi, au pinde, au panga, au farasi au wapandafarasi.”

Soma Hosea 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Hosea 1:7