Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Hosea 3:1

Hosea 3:1 BHN

Mwenyezi-Mungu aliniambia, “Nenda tena ukampende mwanamke anayependwa na mwanamume mwingine na ambaye ni mzinzi. Mpende kama mimi Mwenyezi-Mungu ninavyowapenda Waisraeli, ingawa wao wanaigeukia miungu mingine na kuwa na uchu wa maandazi ya zabibu kavu.”

Soma Hosea 3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Hosea 3:1