Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yeremia 19:4

Yeremia 19:4 BHN

Kwa maana watu wameniacha mimi na kupatia unajisi mahali hapa kwa kufukizia ubani miungu mingine; miungu ambayo wao wenyewe, wazee wao wala wafalme wa Yuda hawajapata kuijua. Pia wamepajaza mahali hapa damu ya watu wasio na hatia

Soma Yeremia 19