Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yeremia 44:16-17

Yeremia 44:16-17 BHN

“Jambo hilo ulilotuambia kwa niaba ya Mwenyezi-Mungu hatutalitii. Lakini kila kitu tulichoapa kufanya tutafanya: Tutamfukizia ubani malkia wa mbinguni na kummiminia tambiko ya kinywaji kama tulivyokuwa tunafanya sisi wenyewe na wazee wetu, wafalme wetu na viongozi wetu, katika miji ya Yuda na katika barabara za Yerusalemu. Ama wakati huo tulikuwa na chakula tele, tulistawi na hatukuona janga lolote.

Soma Yeremia 44