Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohane 12:3

Yohane 12:3 BHN

Basi, Maria alichukua nusu lita ya marashi ya nardo safi ya thamani kubwa, akampaka Yesu miguu na kuipangusa kwa nywele zake. Nyumba yote ikajaa harufu ya marashi.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohane 12:3