Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yobu 1:12

Yobu 1:12 BHN

Mwenyezi-Mungu akamwambia Shetani, “Haya, waweza kufanya chochote uwezacho juu ya mali yake; ila tu yeye mwenyewe usimguse.” Basi, Shetani akaondoka mbele ya Mwenyezi-Mungu.

Soma Yobu 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yobu 1:12