Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yona 2:2

Yona 2:2 BHN

akisema: “Kwa sababu ya taabu yangu, nilikuomba, ee Mwenyezi-Mungu, nawe ukanisikiliza; toka chini kuzimu, nilikulilia, nawe ukasikiliza kilio changu.

Soma Yona 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yona 2:2